Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega akiongea na Wakina mama Wafanyabiashara wa samaki wa Kamanga Feri jijini Mwanza leo Januari 29, 2024 kuhusu ujio wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan atakayefika kesho kwa ajili ya kugawa Boti na Vizimba kwa Wavuvi wa Ziwa Victoria
2/2:The carrageenan factory in Pemba has a capacity to process over 30,000 tonnes of seaweed, produce 16,200 tonnes of carrageenan and support about 25,000 seaweed farmers per year.The JV that is expected to be signed soon will support the EAC region and boost Zanzibar's exports.
Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Mfuko wa kimataifa wa kuhifadhi mazingira (GCF) kutoa kiasi cha Dola milioni 50 zitakazotumika katika utekelezaji wa program ya BBT inayolenga kuwasaidia wajasiriamali vijana na wanawake mara baada ya kumaliza mafunzo kwa vitendo..
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na Shirika la Chakula na Kilimo Ulimwenguni (FAO) imeanza maandalizi ya mapitio ya Sheria ya Uvuvi ya mwaka 2003 na Sera ya Uvuvi ya mwaka 2015 ili kuziboresha na kuzifanya na mwelekeo mmoja, Morogoro, Agosti 10, 2023.
(2/3)
Mkutano huu umebeba kaulimbiu ya “Kuchochea Ukuaji wa Uchumi Afrika: Kuongeza Uzalishaji wa Vijana kupitia Mafunzo na Ujuzi’’, ajenda ambayo ndio moyo wa mataifa yetu – uwekezaji katika rasilimali watu, hususani vijana.
Mbali na kufikia azimio la pamoja (Azimio la Dar es Salaam) ambalo pamoja na mambo mengine litakuza ushirikiano wetu katika uwekezaji na maendeleo ya rasilimali watu, tumeshirikishana yale yanayofanyika katika nchi zetu.
Sisi Tanzania tunaamini katika falsafa za waasisi wetu kuhusu umuhimu wa uwekezaji katika rasilimali watu ili kuleta maendeleo na uhuru wa kweli. Falsafa hizi bado zinaishi na ni sehemu ya dira yetu katika utendaji. Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kusema, “Maendeleo ni watu. Watu ndio walengwa, waanzilishi na wanufaika wa chochote kinachoitwa maendeleo.”
Excited to partner with @CarbonTanzania to generate forest-based carbon credits through the sustainable management of forests & biodiversity across #Tanzania! Our projects will serve the climate, communities and wildlife of Tanzania. #greeneconomy#carboncapture
"Sisi kama Wizara tupo tayari kwa ajili ya jukwaa la mifumo ya chakula barani Afrika (AGRF) na ninatoa wito kwa wadau wetu wote kuhakikisha wanatumia vema fursa hii ya uwepo wa wawekezaji wakubwa duniani kwa siku 4 hapa nchini" Abdallah Ulega, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, DODOMA.
Here's an exciting new @UNEP Marine and Freshwater Branch report:
Seaweed Farming: Assessment on the Potential of Sustainable Upscaling for Climate, Communities and the Planet.
Download here: https://t.co/3ONocuVdti
#seaweed#seaweedfarming
Leo Jumamosi Mjadala kupitia Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali ni Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Je?
1. Wataka kujua mipango ya mageuzi katika sekta ya mifugo na uvuvi?
2. Mdau wa mifugo na uvuvi una swali lolote linahitaji majibu kutoka Wizarani?
3. Unataka kujua Wizara imejipangaje kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan?
4. Ruzuku kwa mifugo na uvuvi?
5. Hali yetu ya mifugo na uvuvi ipoje?
Kwa haya yote na mengine mengi tukutane mjadalani kuanzia saa 3:00 usiku.