Ambassador of the EU 🇪🇺, together with Ambassadors of its Member States, met with Hon. Mahmoud T. Kombo @mfa_tanzania for an open and constructive dialogue on current political developments in Tanzania, including the upcoming elections, democratic principles, and good governance.
@chapo255 Ukifikiria vizuri dhana ha kwamba “Hujali kuhusu watu” ni Uongo. Unajali ndio maana unapiga picha 100 hupost zote 100 unapost moja ambayo watu wataipenda. Unajali kuhusu wao ndio maana unachagua nini una-share na nini huta-share.. ndomana unaforce wakuelewe kinamna fulani😅
Wakati sisi tunaunda bodi ya umwagiliaji kila wakati bila tija,
Wenzetu wa kenya haya mashamba ya mahindi ni matokeo chanya ya @Irrigation_Auth ina control mifumo ya maji yote Kenya na kuhakikisha yanafika kwenye mashamba,
Few years to come Kenya haitanunua mahindi Tanzania
Kupunguza gharama za watu kuoana, mnakutana familia, mnapanga shughuli moja ya harusi.
Achaneni na mambo ya Sendoff na Kitchen party.
Financially inafaa kila upande.
Dr. Elizabeth Nyakarungu ni mmoja wa Watanzania wanaopeperusha Bendera ya Tanzania 🇹🇿 huko Equatorial Guinea 🇬🇶 akiongoza Maabara ya Nchi hiyo kama Labaratory Manager-Barney Rederence Labaratory. Tunajivunia wewe Elizabeth 🇹🇿👏. Asante Mh Rais Samia kwa kuendelea kutufungulia njia na kuamini vijana wa kitanzania wana uwezo #healthdiplomacy #kazinautu #TanzaniatoAfrica
Cheers to new beginnings!!!
I am truly grateful for the 4+ years that I was entrusted by the United Republic of Tanzania to head the National Public Health Laboratory as the Director.
As I commence my role with GIZ- African Union/Africa CDC as an AMR Technical Officer,...
Inapotokea Mungu amekubariki Neema ya kipato kizuri uwe na hakika atakupa na watu watakaotegemea msaada wako🫵nimegundua kuwa mara nyingi BARAKA tunazozipata kwa MUNGU sio za kwetu pekee bali na watu wengine🙏🤝
Programmable cryptography- inaeza tumika nje ya blockchain na ukawa una build application or system ambazo unaeza prove na ku verify kama kitu fulani kimetendeka.
Hii inaeza kuwa integrated na banks, NGOs, Data pipelines etc.
Na pia safe and privacy tracking application.
Ya pili. Memory Transaction tracking and price prediction.
Kuweza ku track and analyse transaction zilizopo kwenye memory pool ya blockchain na kuweza ku predict zitakua na effect gan zikishakua executed kwenye price ya token.
Ya tatu: uwezo wa kuuza my belief on something. If kuna kitu ambacho nakiamini ni kizuri. Wether ni product or service naeza kufanya uki believe pia😅.
Ya nne: acrobatics
Ya tano: kueza kuelewa kitu kipya kwa haraka na kuki relate na kitu ambacho nakijua tayari
What will humans be doing in 10 years?
1. In a decade most people will not be driving. What will we do instead?
2. In a decade most people will have robots in their businesses and probably their homes.
3. In a decade we won't be looking at 2D monitors much anymore.
4. In a decade we will be using a ton of brain/computer interfaces to work and play.
5. In a decade AI will be making us all more productive, and, even, happier. It will be reporting our news. It will be running our businesses. It will be helping us with our health. It will be helping us build. It will help us design new things, new products, new ideas, new lifestyles, new experiences.
6. In a decade we will still be needed to work, but on new things that are hard to imagine today.
7. In a decade we will have dozens of virtual beings in our lives. And your AI will bring new ones into your life depending on your goals. Want to learn Spanish? A new group will show up that are different than the group that will show up if you want to learn Chemistry.
8. In a decade new brain/computer interfaces will be here, and will merge humans with AIs in many ways.
9. In a decade our corporate structures will change to be a hybrid of humans and AIs working together.
10. In a decade a robot will attend our city council meetings and report to us about what's going on inside.
11. In a decade we won't use applications, like we do today on our iPhones. We will have a singular user interface. On Star Trek you just said "computer do this" and it did. Star Trek will be real in a decade.
12. In a decade we will have armies of robots and drones moving around our cities doing everything from deliveries to giving tours to tourists.
13. In a decade we still will have artists and storytellers, but they will be assisted by AIs to help make that art, and tell that story. AI's will gather other AIs who will warn the humans that someone is telling an interesting story.
14. In a decade AIs will still be asking humans for assistance. "Hey human can you get a better view of the house that's on fire across the street?"
15. In a decade AIs are assisting humans in coming up with new medical and material breakthroughs. Even designing new computing architectures, whether Quantum, or silicon, or biological, or a hybrid of all three or even something even newer.
I'm already living this way, always talking with Grok. "Hey Grok, what am I missing?"
It laid out 10 other shifts that I'm missing: https://t.co/vmuHILOK9g
Alisoma Kibaha boys na Benjamin Mkapa Kisha Chuo UDSM. Kijana kiongozi aliyepata mafunzo Egypt, Korea, Kenya, China na Marekani. Leo ameshare panel na Rais Jakaya kwenye tukio la ujio wa Rais wa Finland. Joseph Malekela ni mfano halisi wa kijana mpambanaji aliyeanzia Chini.
Nimeungana na wajumbe wenzangu wa Bodi ya Sauti ya Vijana @EUYSBTanzania katika mjadala na vijana waliohudhuria wiki ya ubunifu #IWTz iliyoandaliwa na @undptz pamoja na @EUinTZ pale JNICC, Dar es Salaam.
Imekuwa fursa muhimu kubadilishana uzoefu na fursa za maendeleo kwa vijana.
Nitakuwa nikizungumza Leo hii katika #InnovationWeekTZ kuhusu changamoto na fursa kwa vijana wabunifu tuliopo nje ya miji mikuu tutatoboaje😀
Karibu tujadiliane!