@captaingalindas@millardayo we uliwah kusikia kuna familia inalalamika kuhusu ndugu zao wameokotwa ufukweni coco? kwanini? Mambo usiyoyajua kaa kimya... umejiuliza wake magaidi waliokuwa kibiti waliishaje? na kama waliuliwa walitupwa wapi? kaa kimya huna unachojua
@Nnauye_Nape@Heche_M_Enock wewe bwana usituone sisi watoto. unazunguka ili iweje? kila mkoa kila wilaya kuna halmashaur kwan ukiwaagiza hawatatekeleza? acha upigaj wa kitoto huo