@bbcswahili Hawa ni Watu Wao Wanatupotezea Muda Tu Hizi Ndiyo Akili Za Watawala na Demokrasia ya Kuwadanganya Watu Wazima Huku Katika Mioyo Yao Wakijua Sio Kweli Wazanzibar Wanajua Mpinzani wa Kweli wa ccm Ni Mh LISSU Tanganyika Tunajua Hivyo Ni Mmoja Tu Mh LISSU Wengine Ni Vihoja tu
@millardayo Uzee huo na Mitandao Wap na Wapi Unaacha Kufuga Kuku Hata Kuongelea Katibu mwenezi na Mstaafu Yuko Wapi Hupo Kimya Wazee Wa Karne Hii Noma Sana