Kampuni ya @emjeycouriers inatafuta dereva wa pikipiki ambae atakuwa anafanya delivery ndani ya mkoa wa Dar es salaam
.
Kama una vigezo tafadhali tuma Cv yako kwa barua pepe [email protected] au wasiliana nasi 0743 000518 kwa maelezo zaidi
.
#emjeycouriers#wedeliver#tanzania
Anasema @mkuki
Maktaba zetu za wilaya lazima ziwe na vitabu!
Nchi ya Norway imeamua kuwa kila kitabu kitakachochapishwa kitanunuliwa na serikali (nakala 1000). Zinasambazwa kwenyw maktaba.
Lazima tuwe deliberate kwenye kuchochea usomaji wa vitabu @UONGOZI
Kijana Mtanzania 🇹🇿 Imani Nsamila @nsamila ameshinda Tuzo za Vijana za EU GCCA+ za Taarifa bora za tabianchi kwa Afrika Mashariki na Kati. Ushindi wa Imani Nsamila umetangazwa leo katika mkutano wa kandoni mwa #COP26 Brussels, Ubelgiji. 👉 https://t.co/mUlQ0VXNhx #EUYouth4Climate
Introducing the #InnoTechForum advisory board expert.
~Meet Mr. @SalumAwadh founder of
@SSCcapital, a strategy advisory and investment banking firm.The firm supports clients to grow businesses,ensure investments can generate best returns & create long term value.
#ImpactTechTZ
Introducing the #InnoTechForum advisory board expert.
~ Advocate for equal rights and opportunities for women, meet Ms. @AtiyaSumar, Head of Programs and partner of @tzBritish. Passionate about #DigitalTransformation, fostering an innovative and inclusive culture.
#ImpactTechTZ
Top reasons why businesses fail
1. 79% start with too little money than what is minimally required
2. 78% insufficient research on the business/idea
3.77% poor pricing ( u just copy others)
4. 73% poor cash flow management, run out of money
5. 70% dont seek help,when help is due
@MargyAnne@Habarihubtz Margareth has over five years in business and #Entrepreneurship; she assists local brands to expand their market base by providing low cost delivery services while maintaining high quality services.
~ She also has experience in accountancy, #Finance management and #Logistics.
Introducing the #InnoTechForum steering committee.
~ Meet Ms. Margareth Simalenga; Founder of Emjey Couriers, an on demand courier company working to solve last mile #Delivery by allowing merchants and individuals to send and receive parcels at their doorstep.
#EmjeyCouriers
Inorder to serve our readers timely, we will be open tomorrow (Sunday 9th) from 8:30 to 5:30 especially for our customers who want to get their Hardcover copies ASAP while supplies last.
Come grab your copy of the recently released #MzeeRukhsa book.
Cc @UONGOZI@MkukiNaNyota
#MzeeRukhsa
Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi akizungumza kwenye Uzinduzi wa Kitabu chake kinachoitwa Mzee Rukhsa katika ukumbi wa JNICC jijini Dar Es Salaam
@UONGOZI@MkukiNaNyota