Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema katizo la umeme Mkoa wa Kinondoni leo (saa 3:00 - 11:00 jioni) limetokana na kuzimwa kwa kituo cha kupoza umeme cha Mikocheni na laini ya viwandani, ili kubadilisha nguzo za miti na kuweka za zege.
#KitengeUpdates