@ReganTesha_ Reagan kumbuka some tym back tuliwahi kusema makonda ni silaha kubwa Kwa ccm yule ndugu yetu wa hai alikuwa sacrificial sheep tu na yy soon anarudi na gwanda za kijani
@IAMartin_ Unafki njaa na educated fools ni tatizo Kwa taifa heri mjinga ambaye hajawahi enda shule kuliko hawa vijana wameenda shule na kufanya mazezeta na ccm
@luv2rhyme@chapo255 Aslay hawezi kupotea wataunda wasanii milioni lakini aslay ni special talent Leo akidrop mawe kumi mitaa itaita na wasanii wenu wote pendwa watajificha
@reallymagnifico@Chriss_papy Kufa ni mpango wa mungu ila Kwa uchumi huu mambo ya ndoa ngoja kwanza vyuma vimekaza na ndio io black tax lazima madogo wasome
@reallymagnifico@iamarnold7 That's odegaard at his best remember Leo 1st 75 minutes hatujakuwa na our best players start being ready partey is back and rice is cooking you ain't ready for martin odegaard Saka and Gabi forward