1969 Ingekuwa ni 2025/26 Kwenye Utawala huu wa MAFWEFWE, J4, BANGI M na KAAYA fundi Mafriji. Chini ya yule MMAKUNDUCHI wa Nchi Jirani.
Hakika KAMBARAGE BURITO Saivi Angekuwa Selo moja na TAL kwa UHAINI HD+
Minyonyaji, Mifisadi, Mitekaji na Miuaji >>Ni Miogaa hiyoo🥺
#IpoSikuTu
Kwako mheshimiwa waziri mkuu @mwigulunchemba1 .
Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania🇹🇿 .
Ndugu waziri mkuu,Naomba kukumbusha yakuwa hata baada ya vile vikao vyako vya kujifanya unatafuta ufumbuzi na suluhu ya kurejesha amani kea wananchi, kumbuka yakuwa hakuna Majibu sahihi uliyowahi kutoa dhidi ya maswali haya kwa wanahabari waliokuuliza,
swali langu ni hili, je siku tukichukua madaraka, upo tayari kutupa ushirikiano tutakapo kuhitaji?
Je Hivi unajua Kuwa mpaka muda huu kuna familia zimezika viatu na nguo kisa watu kunyimwa miili yao?kwani hawakuwa na haki ya kuwapumzisha wapendwa wao atakama mumewaua kwasababu zenu za kisiasa?
Je nyie kama serikali,mnaona kabisa Kuwa hali ya kiusalama dhidi ya raia ni shwari nchini?
je mnajua ni watu wangapi wamepotezwa na kuuwawa kikatili kwasababu ya kuikosoa serikali ukiachana na Watu maarufu Kama mdude, soma, polepole nk?
Je mmechukua hatua gani kudhibiti utekaji na mauaji ndani ya nchi yetu?
Ndugu waziri mkuu, naomba utafakari kwa kina tena kwa upya hatma ya watanzania kuhusu usalama wao,
tunajua hali nchini kiuchumi si shwari kabisa,
tunajua hali si shwari nchini kuhusu idara nyeti ya afya lkn mumeweka mikakati gani?
Nakusihi mzee wangu kama ikikupendeza jiuzuru nafasi Hiyo kabla mambo hayajabadilika
ni wako raia mwema h.kilesi
@HildaNewton21 Kuna Kitu nimegundua hapo kwa Utekwaji wa DAVID.
Jamaa alitamani Kusema "KUNA WATU WANANITEKA HAPA" ila kwa Kuhamaki akajikuta anasema "Kuna watu Wananisikiliza hapa"😢 hapo ndo wakamuwahi kumpokonya Simu.
Very Sad 😭
Jamani KILA MTU ACHUKUE TAHADHARI BINAFSI kwanza Hali sio
@Mkadimbajnr Yaan kwa kujiamini Ukarudia Neno MSHAMBULIAJI Tena kwa Herufi kubwa ukimaanisha unatia mkazo kuwa Max ni MSHAMBULIAJI 🤣😂
Japo Mimi ni Simba Dam ila Mzee Ninaona unakoelkea utatuambia MPANZU na AURA kuwa ni WASHAMBULIAJI wa Simba 😂🤣
@HecheJohn Najiuliza kama CHADEMA iliyokufa Iko hivii...Hiviii CHADEMA Ikiwa HAI itakuwaje?
Na hapo hakuna MAROLI yaliyowasomba watu,
Hakuna WANAFUNZI
Boda Boda HAWAJAPEWA Lita 1 ya mafuta na Ahadi ya 10,000
Badala yake WANANCHI ndiyo wanatoa Hela zao🎊👏
Hii Picha inaongea Mengi sana
👇

Najiuliza kama CHADEMA iliyokufa Iko hivii...Hiviii CHADEMA Ikiwa HAI itakuwaje?
Na hapo hakuna MAROLI yaliyowasomba watu,
Hakuna WANAFUNZI
Boda Boda HAWAJAPEWA Lita 1 ya mafuta na Ahadi ya 10,000
Badala yake WANANCHI ndiyo wanatoa Hela zao🎊👏
Hii Picha inaongea Mengi sana
👇
Tume ya Udanganyifu Mkuu chini ya Jacobs Mwambegele ndiyo iliyompigia kura Samia Suluhu Hassan na kumkabidhi uongozi wa nchi hii.
Wananchi wenyewe ndio hawa wapo kwetu.
Tume ya Udanganyifu Mkuu chini ya Jacobs Mwambegele ndiyo iliyompigia kura Samia Suluhu Hassan na kumkabidhi uongozi wa nchi hii.
Wananchi wenyewe ndio hawa wapo kwetu.
@TheChanzo Ukweli waliousema ni kwamba WANAFUATILIA MIKUTANO YA CDM (Ambayo Ndilo BUNGE HALISI LA WANANCHI)
Ila haijanishangaza kuona
WOTE HAWAJAJIBU NA HAWEZI KUJIBU HOJA ZA Mhe. Naibu SPEAKER wa WANANCHI (John W. Heche)
Hoja ni 3 tu ZIJIBIWE by FACTS
Siyo kuimba tu MAMA na kugonga Meza

@PMadeleka Madam tu na wewe @PMadeleka Ulishawahi kuwa POLICCM,
Na huwenda upo Kimkakati kwenye UWAKILI na huko 💜 baada ya kukwama CDM.
Jambo Moja Ujue HATA WEWE UKIDANJA ni Sherehe Mwaaa Mwiii siyo kwa Sababu wewe ni Peter ila ni kwa SABABU Ulishawahi Kukanyaga LAANA ya kuwa POLICCM. Over

@HecheJohn Tunawasihi Wasithubu.
Kwenye Mikutano Mingine Wakifanyiwa Uhuni Wasimlaumu Yeyote.
Watu Wanaohudhuria Mikutano ni wengi Kuliko Wao.
Ikipigwa MBINJA Moja Tu Mpk Magari Yao Yanaweza Kuchomwa Moto.
WAMESHAPIGA WATU SHAVU LA KULIA WASITEGEMEE WATAWAPIGA LA KUSHOTO TENA 🥺
@MariaSTsehai Milio Kibaao
Ngoja Waendelee Kujifariji tu
Et Oooh "Siyo Maamuzi ya Mwisho"
Hapohapo Wanasikitishwa na Maamuzi ya EU🤣
Et Hawajazingatia UKWELI wa #Mo29
UKWELI wa kusema Et pale kwa KONDO Majirani Walikuwa wanalima MIHOGO ndiyo maana Pakachimbuliwa🤣
Na BADOO HAWAJALIA
#MJ7
✅

@MsigwaGerson Milio Kibaao
Na Badoo Endeleeni Kujifariji
Kila siku Oooh "siyo Maamuzi ya mwisho"
Halafu hapohapo Mnasikitishwa na maamuzi yao🤣
Et Hawajazingatia UKWELI wa #Mo29
UKWELI wa kusema Et pale kwa KONDO Majirani Walikuwa wanalima MIHOGO ndiyo maana Pakachimbuliwa🤣
Na BADOO HAMJALIA
Girishoni alisema tunaweza kujiendesha kama nchi bila misaada kama hii kwa makusanyo ya kodi kutoka ndani.
Girishoni alisema hii misaada inakuja na masharti ya kuwalazimisha wakubali mambo ya KISHOGA.
Nafikiri tupo salama kama nchi.
NB: MAREKANI INAFUATA.
GOOD MORNING.