Trump campaigned on an “America First” platform. Now he wants to "run" Venezuela?
60% of Americans live paycheck to paycheck. Health care is collapsing. Housing is unaffordable.
Trump should address these major crises at home and end his illegal military adventurism abroad.
@millardayo Hivi ni kwanini hao hao walikuwepo kwenye uongozi na wangeweza kufanya haya wanayoyaahidi, cha ajabu utafikiri wanakuja wapya katika uongozi wanakuambia tukishinda tutawafanyia hiki
Na hiki mimi
Sijaelewa ni hao hao waliokuwepo au wanakuja wengine au kinakuja chama kingine
@MariaSTsehai Tanzania hawana umoja, Kenya waliingia barabarani bila ya chama wala kiongozi na waliwakanya wazee kaeni nyumbani we are fighting for our country Mosques ndio zilifanywa makeshift hospital walisimama Harambee bila udini wala ukabila kupigania haki. Bongo blah blah.
‼️🚨JUMA ZUBERI HOMERA MWACHIE MDUDE - MPELEKENI HOSPITALI🚨‼️
Mkuu wa mkoa wa Mbeya tumepewa taarifa na vyanzo 3 tofauti kuwa we ndo ulituma taskforce chini ya ofisi ya RCO wakiongozwa na Shabani kumteka na kumwumiza @mdudenyagali na unaye na anahitaji emergency services!
Mpelekeni hospitali yaishe
RPC hii taarifa fanyia kazi maana ni kama mfumo hausomani! Hadi maafisa wako ndani wanaruka hii kesi maana ni mbaya!
Tunajiandaa kwa sasa na nyaraka ya kimataifs na kuna ujumbe unakuja ila baadaye msianze kulialia tunaichafua nchi!
Homera utaichafua nchi - nyie nendeni mwacheni hapo hospitalini tumwuguze
#FreeMdude
#freemdudenyagali
@Fernand46357857 tRump is both corrupt and stupid!!!
tRump is a liar, rapist, fraudster, & criminal & belongs in prison for life.
I wrote this anthem, We are the Resistance, & created the amazing video to stop tRump, the Republicans, & fascism #ArresttRump#tRumpCrime https://t.co/0XSteqj2ys