A special seat was reserved for Nairobi Senator Edwin Sifuna at the burial of Kakamega Senator Boni Khalwale's wife in Ikolomani, with the gesture seen as a symbolic acknowledgment of his rising political stature and presidential ambitions.
Aki uchungu wa mwana aujuaye mzazi.
Huyu ni ule Kijana Mosiria alipata pale Nyayo Stadium akiwa amelala hapo chini. After Mosiria posted his video, mamake amepatikana.
Anasema aliona Kijana yake 4 years ago ameenda kwa mortuary mingi akifikiria alikufa. Alafu mamayake anasema his son aliitisha inheritance yake kitambo and he became a very successful DJ. Alikuwa hadi na gari ya kazi, akapata bibi na juu alikuwa anaishi Kiambu.
Akaambia mama yake bibi amesema wahamie Meru. Jamaa akatoka kwenye Kiambu akaenda Meru. Vile alifika Meru, hakuwa anachukua hata number ya mama yake.
Mama yake alikuja kuitiwa Kijana yake akiwa hosi, vitu zikiwa zimebadilika. Bibi akamuacha akaolewa na mwanaume aki...
Jamaa amekuwa kwa streets until Mosiria alipost video yake. Na ju mama ni mama, akaona hiyo video leo akatafuta Mosiria.
Mama hakuwa na pesa. Mosiria amemsaidia aka-rescue huyo Kijana, akakufa admitted pale Mathari Mental Hospital ju Kijana hayuko sawa kabisa.