#HABARI Mkuu wa Wilaya ya Siha Dk. Christopher Timbuka, amesema kundi la vijana lililozua vurugu na kuweka jeneza lenye mwili wa kijana aliyefariki dunia juu ya gari lake la kikazi lilikuwa katika hali isiyo ya kawaida kutokana na matumizi ya vilevi.
Dk. Timbuka ametoa kauli hiyo wakati akifafanua tukio lililotokea wakati wa mazishi ya dereva bodaboda Emmanuel Mwanry, ambapo baadhi ya vijana walizuia shughuli za mazishi kwa madai ya kutoridhishwa na hatua zilizochukuliwa na vyombo vya usalama kufuatia kifo cha mwenzao.
Amesema vijana hao walikuwa wamejipanga kuusindikiza mwili wa marehemu kwa msafara mkubwa kupitia Barabara ya Moshi-Arusha kuelekea Siha, jambo ambalo lingehatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara.
Kwa mujibu wa Mkuu huyo wa Wilaya, kundi hilo liliendelea kuzuia shughuli za mazishi na baadaye kulichukua jeneza lenye mwili wa marehemu na kuliweka juu ya gari la Mkuu wa Wilaya kama njia ya kushinikiza madai yao.
#EastAfricaTV
You don’t have to fight Goliath by yourself, the sickness, the addiction, the struggle. That may be too much for you. You can’t do it in your own strength. That’s not your part. Your part is to pronounce the blessing. Declare what God says. Once you put your stake down, God will go to work.
Faith is not merely hope—it is action.
Many are waiting for God to move while God is waiting for them to believe. True faith steps out, obeys, gives, prays, and trusts even when there is no visible evidence. Faith is not passive; it is a living force that acts on God’s promises.
It says in Hebrews, “Those who have believed enter into rest.” It’s okay to leave it alone. You don’t have to make it happen in your own efforts. Give yourself permission to rest. Listen to this message from Joel! "Leave It Alone": https://t.co/KpspxxmnN3
God is supernatural. He’s not going to leave you in a broken place, a wounded place, a defeated place, a lonely place. He wouldn’t have allowed that suffering if He wasn’t going to bring you out better.