Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limetoa mapendekezo mahususi ya kitaifa kwa ajili ya kuponya majeraha yaliyotokana na machafuko na maafa ya kisiasa yaliyozikumba jamii tangu Oktoba 29, 2025.
Akisoma tamko hilo Novemba 15, 2025, baada ya siku nne za tafakari na sala, Rais wa Baraza hilo, Askofu Wolfgang Pisa, amesema taifa limeumizwa na liko katika hatari ya kugawanyika zaidi, hivyo ni muhimu kwa viongozi na mamlaka husika kuchukua hatua hizi ili kurejesha matumaini, haki na amani.
Maaskofu wamesema viongozi na mamlaka lazima walipe umuhimu tukio hilo la maafa, wakiri ukweli, watoe pole kwa familia na kukemea mauaji yaliyofanyika wakisisitiza kuwa โwaliouawa ni ndugu zetu.โ
Baraza linataka wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wawajibishwe au wawajibike, kwani hasira kubwa ya wananchi inatokana na kuona hakuna anayechukuliwa hatua licha ya raia kuumizwa au kupoteza maisha.
Maaskofu wanapendekeza uchunguzi wa kina usiofungamana na upande wowote, ukihusisha taasisi za kimataifa, dini, wataalamu wa demokrasia, asasi za kiraia, na serikali kuwa tayari kupokea matokeo na kuyafanyia kazi.
Wanahimiza viongozi wote waishi kwa uadilifu, ukweli na uwajibikaji na wanataka wote waliokamatwa kabla, wakati au baada ya uchaguzi kwa hila na bila mashauri ya haki waachiwe huru bila masharti.
Aidha, TEC wametaka mchakato wa Katiba mpya uanze mara moja kwa kushirikisha wadau wote ili taifa lisirudi kwenye machafuko.
TEC imewaalika Watanzania kuendelea kusali ili haki, amani, ukweli na uponyaji viweze kurejea, huku ikiwafariji waliopoteza wapendwa na kuwaombea majeruhi wapone.
@KCBBankTZ Bank ni ya kikanda (Regional) kiutendaji na inajinadi hivyo. Lakini ki huduma haiko hivyo! Ukitoka nje ya nchi Yako (account ilipo sajiliwa) kupata huduma kwenye nchi nyingine unachajiwa gharama za ziada kama mteja asiye wa KCB! Hili linapaswa kufanyiwa kazi kwakweli!
There was a Tsunami of grade 5 kids from Kijenge primary school this Morning at our Arusha youth training camp @ AICC club.
100 showed up, we had to put a cap at 60.๐คญ๐
# Dawn of new era.
# CMA CGM/TSF project 2024/25๐ซ๐ท&๐น๐ฟ
@WorldSquash @PSAWorldTour @USSQUASH@Mo_Mwendwa
The world's (second) oldest Christian country is not in the Middle East or Europe โ it's Ethiopia.
There are centuries-old churches there that most people don't know about.
These were not "built", but carved directly into the rockโฆ (thread) ๐งต
GillenMarkets London Squash Classic Champion ๐
Proud of the squash I played this week in this beautiful venue and over the moon to capture my biggest title yet! Massive thanks to my team for always trusting in me along the way ๐๐ป
Congratulations to @vaughangething the Zambia-born Welsh First Minister, on your election to the highest office in #Wales. We look forward to enhancing bilateral relations between ๐ฟ๐ฒ& ๐ด๓ ง๓ ข๓ ท๓ ฌ๓ ณ๓ ฟ.
Llongyfarchiadau!
๐ @x_satosq_x claims her first World Tour title in a sensational performance against the top seed!
It's the Japanese No.1's first title of the season ๐ฅ
She beat Nele Gilis: 3-0: 11-9, 11-8, 11-6 (46m)
#OptasiaChampionships
๐ @paulcollsquash comes back from 2-0 down to beat top seed Farag in the @OPTASIAsquash Men's Final!
The World No.2 claims his fourth title of the season ๐ฅ
He beat Ali Farag (EGY): 3-2: 8-11, 2-11, 12-10, 12-10, 11-9 (91m)
#OptasiaChampionships