@MichaelMwebe@samz__23 master kwani chelsea ilochukua EPL 2009/10 ballack alikuwa wapi? munich inachukua bundesliga 2002/03, 2004/05, 2005/06 ballack alikuwa wapi? carling cup 2006/07 ballack alikuwa wapi? kuanzia 2006/07 mpaka 2009/10 chelsea imechukua FA 3 times unaeza sema ballack alikuwa wapi?