Asante kaka @HecheJohn akili kubwa 👊🏽🔥
Ni kwamba jana katuambia Nchimbi shida iko wapi!
Soon tutaongea wote lugha moja kila mtu atafikiwa! Tusimame pamoja tupambanie Haki, Uwajibikaji na Ukweli kisha tupate #KatibaMpya#TutaelewanaTu
Yani wewe @GersonMsigwa mwaka huu utajinyonga tu na hayo madamu ya watu muliyomwaga yanakuwehusha mbona bado?? Hapa mziki ndo kwanza na mbinu zenu za kutukataza kuwachangia chadema ndo ZIMEGONGA MWAMBA TUTAWANG’OA HATA MUIMBE HALELUYA eti kazi si munaiba?
"Kuna jambo linafurahisha sana kama Taifa kwamba kila mtu kwa nafasi yake anazungumzia maridhiano ya Kitaifa hasa kuanzia kwenye Chama chetu, Mwenyekiti Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wake Mzee Wassira, kila mtu anazungumzia maridhiano hilo kwa busara linaonesha kuwa ipo sehemu tumekwama, tumekosea na ninaamini hata upinzani pia unaamini katika maridhiano ila tuwe wakweli wapinzani nchi hii ni Chadema tu, vyama vingine hata mtoto anajua tu kuwa hawa wengine ni mitego tu."
"Shida inakuja tunafanyaje maridhiano wakati Mwenyekiti wao yupo ndani? Sasa maridhiano yatakuwa ya aina gani? Maridhiano yanahitaji watu wenye nguvu kuridhiana, kwahiyo mimi ninaamini Mhe. Rais kwa nia njema kabisa bila kushinikizwa na mabeberu naamini Bw. Lissu atakuwa nje ili turidhiane, twendeni kwenye uhalisia."- Seleman Msindi maarufu kama Afande Sele leo Jumamosi Julai 18, 2026.
Hivi unajua kwann huyu @joeselasini ameng'ang'ana heche kufanyiwa uchunguzi ? Je unahis anakosea hizi kelele zikizid basi hekima itumike Heche apishe uchunguzi ufanyike ili kuonesha haki na demokrasia safi kwa kila mtu nchini hoja ujibiwa kwa hoja
Hivi unajua kwann huyu @joeselasini ameng'ang'ana heche kufanyiwa uchunguzi ? Je unahis anakosea hizi kelele zikizid basi hekima itumike Heche apishe uchunguzi ufanyike ili kuonesha haki na demokrasia safi kwa kila mtu nchini hoja ujibiwa kwa hoja
Matukio ya viongozi wa serikali kuzomewa hadharani si jambo la kupuuzwa; ni kengele ya tahadhari inayopaswa kuwashtua wote walioko madarakani.
Kama sababu zinazowafanya wananchi, hasa vijana, kufikia hatua ya kuonyesha hasira na kutoridhika hadharani hazitashughulikiwa kwa dhati, basi hakuna kiongozi anayepaswa kujidanganya kuwa yuko salama. Hilo linawahusu mawaziri, wabunge, na hata viongozi wa ngazi za juu zaidi. Hasira ya wananchi haijitokezi ghafla; hujengwa na muda mrefu wa kusikilizwa kwa masikio ya uongozi yaliyofungwa.
Heshima ya viongozi haitokani na vyeo wala mamlaka pekee. Hujengwa kwa kusikiliza wananchi, kujibu malalamiko yao kwa vitendo, na kutatua changamoto zinazowakabili. Serikali inayopuuza dalili za wazi za kutoridhika inajichimbia shimo lenyewe na kuongeza pengo kati yake na wananchi.
Hivyo, badala ya kujifanya hakuna kinachoendelea, viongozi wanapaswa kuchukulia ishara hizi kama onyo kali la kujitathmini upya, kurekebisha mwenendo wao, na kuimarisha uwajibikaji wa kweli kwa wananchi.
CHADEMA iko imara zaidi sasa! Msiyumbishwe. Adui yetu mkuu anajulikana. Ni dola dhalimu na katili ya CCM inayofanya kila njia kutudhoofisha. Kuwa kiongozi au mwanachama wa CHADEMA ni msimamo wa kijasiri na utayari wa kupambana kulinda ustawi wa chama chetu. Kusimama imara ndiyo silaha yetu. #PeoplesPower
Tundu A.M Lissu na John Heche walichaguliwa na Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Hakuna kiumbe yeyote anayeweza kuwaondoa zaidi ya Mkutano Mkuu wa chama Taifa ambao uliwachagua. Hizo porojo nyingine ni mazombi ya mbogamboga yamelewa visungura tu na hayaelewi muundo wa katiba ya CHADEMA.
Msingi wa Utendaji Kazi wa POLISI kwenye masuala ya Jinai, ni “UPELELEZI”. Kwa hiyo, Polisi inafanya “UPELELEZI kuhusu SHEHE SAIDI MWAIPOPO ili kujiridhisha kama SHEHE huyo SIYO “EIAI”.😂😂
Mhe. @AdoShaibu;
POLEPOLE kutwa aliitukana, aliitweza na kuitungia uwongo lukuki @ccm_tanzania na viongozi wake ikiwemo M/kiti Dkt @SuluhuSamia TUCHUKIWE NA WANANCHI;Mwanachama wa kaliba hii angekuwa kwenu @ACTwazalendo mngepata nguvu wapi kumtetea⁉️Dai maji Tunduru tutakuelewa.