@godbless_lema Huwa inauma sana, enzi za Magu ndugu yetu alishikiliwa siku 60 hatujui yupo wapi, Baba na Mama walikuwa ni kulia siku zote, binafsi nilikuwa usiku nashituka usiombee yakukute
@TitoMagoti Free fortunatus Buyombe Ameripot swala siku kadhaa hapo nyuma wote kwa pamoja Tupaze sauti Yetu kwa umoja wetu mpaka Apatikane ikiwa bado hawajaotoa taaatifa wapi Alipo sisi Tutahesabu kama Ametekwa
@IamLyenda Njia fupi maana yake ni ya mkato, hawa wametufindisha kufikia mafanikio lazima tutumie njia ndefu sasa leo hata hiyo ndefu hawataki tufanyeje nimechoka miye Masebuna...
Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi. Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu ili ajitukuze mbele ya watu wake, vivyo hivyo utukufu wa Mungu umeonekana Tanzania, tunahitaji mambo magumu ili kuthibitisha alama za nyakati na tujue tulikuwa na yeye ktk safari ya haki. Ninaiona kesho iliyo bora, yenye heshima na utukufu wa Mungu, maana dalili zote tayari zimekamilika. Basi tusifikiri mabaya juu ya mtu yeyote bali tuendelee kutafakari haki na wala tusichoke kutenda wema maana tutavuna pasipo kutarajia. Mtamshangaa sana Mwenyezi Mungu. Mimi, ingawa ni mdhaifu na sina uadilifu mbele zake, lakini ninautambua uwezo wake usio na kifani. Leo imekuwa siku ya ishara kubwa. Jipeni Moyo Mkuu. Tutavuka salama. Msizimie Moyo.
@godbless_lema Hakika ulinenali Lema, Tulikutana Arusha one day Njiro pale kwenye nyama pendwa tukasalimiana kwa upendo sana wewe ni mtu mzuri sana, Mungu akupiganie
@JohnHeshima@YerickoNyerereT Ccm hawanaga akili ulitegemea awape dhini wamlambe miguu kama machawa wengine kama alifikiri ni hongo basi alifikiri kwa ufinyu
@Eliudiwekesa@YerickoNyerereT Si aliwalipa hali yako ya msingi, alwadhulumu mtangulizi wake hata kama amewapa ndiyo wasimkosoe kwani hiyo ilikuwa hongo?