@shafii_ibn@PKishamba acha ujuha wewe azam tangu wamerusha ile tournament yao ya simba /asante kotoko walishakuwa na makubaliano ya awali kuhusu mechi hii..hii habari imetoka juzi october 9 kabla ya ushuzi wenu wa leo
@KenedyMartin_@shafii_ibn@PKishamba acha ujuha wewe azam tangu wamerusha ile tournament yao ya simba /asante kotoko walishakuwa na makubaliano ya awali kuhusu mechi hii..hii habari imetoka juzi october 9 kabla ya ushuzi wenu wa leo
@HKigwangalla@SimbaSCTanzania Ukamilike mara ngapi tena na fcc washaupitisha we sema unasubiri team iteleze ukumbuke hasiraa za kunyimwa mkopo wa bodaboda
@MshauriSerikali@dr_matenga umekula sh ngapi mzeee? kila siku unaikosoa serikali kumbena wewe walewale tu wazee wa utapeli, huyo thomas hana jina la pili?
@MshauriSerikali@Tinhode1 usijichekeshe mkuu unajua kwa asilimia kubwa na wewe unahamasisha watu kutapeliwa hela zao? HUYO MR THOMAS jina lake la ukoo ni nani? unaweza post picha yake?