✍️Hizi hapa HIJACKING za kariakoo zilizotokea miaka ya karibuni, Actually ni utamaduni wa soka letu ilianza kitambo ila recently ni hizi nilizoorodhesha
•Offen Chikola
•Ecua Celestin
•Moussa Balla Conte
•Lassine Kouma
•Selemani Mwalimu
•Yusuph Kagoma
•Fabrice Ngoma
Jamaa anadai kusoma SAANA ni ujinga au kupoteza MUDA , kusoma msome ila msisome SAANA
Jamaa anadai kufanikiwa kumefichwa kwenye matokeo, watu wanamafanikio na hawana ma PhD
My friend kila Mtu anahatima yake kwa kila anachofanya
Billionea wengi wamesoma ila SIO SANA so SOMA-2
Cc @FIFAcom 👇🏾 before this post gets deleted
@ccm_tanzania also made public announcement that they received 100 million from @YoungAfricansSC
If here is the link even if they delete you can find the link archive but I also have saved a screenshof
Thank you 🙏🏽
Kuna jamaa mmoja kipindi tupo shule nilimuomba anielekeze namna ya kutafuta thamani ya x kwenye swali la algebra, alinielekeza kwamba x huwa inakaa huku na haitokagi siku zote. Mpaka leo x ipo pale pale aliponielekeza jamaa na jibu sipati!! 🤔🤭
Hizi kazi za kutoa habari kwa umma wapatieni watu wenye akili kidogo kuliko mnavojidhalilisha kwa kauli ambazo zinafanya taasisi nzima kuonekana vijambo wazi.. 😅😅😅
"Sijaskia Wachambuzi na Waandishi wakiliongelea hili lakini Young Africans SC mpaka sasa imeshakata tiketi ya kushiriki Mashindano ya Klabu bingwa Afrika msimu ujao na ndio malengo na shauku ya kila mwanayanga ilipo, sisi Yanga hatuwezi kujiliza kwenye Kombe la Shirikisho ni Kombe ambalo kikanuni hakuna Bingwa wa nchi yoyote ile ameshiriki sisi huko tumeshavuka na malengo yetu yote yapo kwenye Klabu bingwa Afrika" @AliKamwe
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewapongeza wachezaji wa timu ya Simba kwa ushindi walioupata katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, katika mchezo wa awali wa Nusu Fainali dhidi ya timu ya Stellenbosch Football Club ya Afrika Kusini.
Aidha, Rais Dk. Mwinyi ametoa pongezi hizo akiwa katika makaazi yake ya Ikulu Ndogo Migombani, Zanzibar, akifuatilia mchezo huo uliochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 20 Aprili 2025.
Halikadhalika, Rais Dkt.Mwinyi ameipongeza timu ya Simba kwa kuuchagua Uwanja wa New Amaan Complex kuwa uwanja wao wa nyumbani na kueleza kuwa Serikali imefarijika na hatua hiyo, huku akiahidi kuendelea kuimarisha viwanja mbalimbali hapa Zanzibar.
#KitengeUpdates
🚨 BREAKING
Former Simba SC 🇹🇿 sponsor, Azim Dewji has promised to provide one million shillings (1,000,000) to each region for fans in each region to organize a trip to Dar es Salaam to witness the team if it reaches the final of the African Confederation Cup.
🗣️"Pesa nilizochangiwa na mashabiki nitaongezea kwenye 60K aliyonipa Kibu Denis kambini ili nikanunue viatu"
-Adolf Hamisi,Mchezaji Kutoka program za vijana Simba SC