This is personal struggle for me and my family and is very important subject. I can't say this will be my last post for a while, but maybe the last of many.... love you all! Certainly, in the most difficult... https://t.co/EKnSbvoBsX
@CossenyEdward @IsmailJussa@freemanmbowetz@TumeYaUchaguzi @ChademaMedia Nilidhani nabishana kwa hoja kumbe nabishana na mtu mwenye roho ya aina hii? Nmekuachia uwanja
Sipo hapa kujadili chuki nipo kujadili hoja za msingi lakini kumbe ww sio kati ya wale wanaopenda majadiliano
@CossenyEdward @IsmailJussa@freemanmbowetz@TumeYaUchaguzi @ChademaMedia Ni mkazi wa eneo la tukio panapoitwa Mkuyuni kata ya turwa na hadi biashara yang siku ya jana imepata athari kubwa sana kutokana na vurumai hizo
Nimepoteza wateja na wengine wamekimbia bila kulipia huduma niliyowapatia
@CossenyEdward @IsmailJussa@freemanmbowetz@TumeYaUchaguzi @ChademaMedia Basi nikueleze nilikuepo eneo la tukio halikutolewa tangazo lolote la public na pia kwa mujibu wa katibu wa chama wilaya hawakupokea barua yoyote kabla yakuletewa barua eneo la mkutano
@CossenyEdward @IsmailJussa@freemanmbowetz@TumeYaUchaguzi @ChademaMedia Lakini unaelewa fika kua hakuna katazo la *mdomo* makatazo yote ya kisheria yanatolewa kwa njia ya maandishi *barua rasmi* je lakujiuliza hapa ni hawa CDM waliipata barua hiyo na kukaidi agizo la Tume?
@kivuyo_toure@MabalaMakengeza@KKagasheki Hawa the bus driver adi leo hii nina kitabu hiki ndani mwang kipyaaaaa kama hakijawahi kuguswa mzee wang alininunulia mwaka 2005 nikiwa kidato cha kwanza
@RobertGMlay1 @Ipyana_Ipyana @MabalaMakengeza@halimamdee Ilikua mantiki nzuri yakuwakilisha #wazawa but haimaniishi ukiwa na rangi tofauti na hiyo huwezi kuitwa Mtanzania
Wapo watanzania wengi ambao rangi zao haziakisi uwepo wa rangi nyeusi katika bendera yetu pendwa lakini haiwaondolei utaifa wao kaka
@MabalaMakengeza@kivuyo_toure@KKagasheki Mabala the farmer kitabu kilichonifunza vyema lugha ya kiingereza adi leo am so dead proud of myself that i can speak this language fluently
Ata mwanangu adi leo hii namfunza kupitia kitabu hiki
Am so proud of you papa ππβ€
@CossenyEdward @IsmailJussa@freemanmbowetz Nawwe ungeijua sababu ya hawa wengine kuzuiliwa kufanya mkutano basi usingeuliza swali hili
Pia naww upo tarime kama mimi?
After chemotherapy treatment, it's true that it takes years to feel alive... with the side effects of the chemotherapy and radiation, you will never be back to 100% because of the weakened immune system.
Sure,... https://t.co/WKZeXGtTrw