Kuna mama walikamata pale ngara watu wa kuuza viatu walikula moto mbaya sana,alikua anakuja anawaambia hajui bwana yake anavaa kiatu size ngapi so anawacha deposit ya 150 anabeba kiatu moja ya right na huwa harudi,Kumbe bwana hana mguu ya left,Wizi iko hii nailobi ni mingi buana