@kalegamyeh Nadhani hata international Media zimepigwa pin kurusha kinachoendelea, maana BBC Swahili walianza kushare kinachoendelea ila tangu wapost mapema video mbili ... No any updates mpaka sasa.
Shame!!!! Shame!!!
Dear Health experts,
Tufanye shule za Innovation badala ya Applied!
Innovations zitaleta investors badala ya Donors!
Mfamasia, achana na MPH, join chain ya Drug Development, Supply Chain, Quality, Manufacturing Tech, Clinical Research!
Let’s empower our Pharma Industries!
@George_Ambangil@EBL2017 Tungekuwa na mido kama Frankie De jong, jamaa angekuwa anaenjoy sana kufanya build up from the back. Ila ndo hivyo sasa mido za namna hiyo ni chache na bei ni mkasi😃
Tutulize mtori, labda nyama zipo chini coach 😅🙌
@MarekaMalili Nomaa sana, jamaa hata anavyopiga pasi zake unaona kabisa ni top top player kwa intermiami.
Hata playing style yao mali lazma ipite kwa magician ndo anaamua timu inachezaje noma sana💯🙌.