Kuna a bible verse nimeisahau, watu walimuomba Mungu apigane vita yao, nae aliwajibu, nendeni mkam face adui nami nitawapa nguvu ya kumshinda.
Mungu anataka akukute kwenye mchakato sio umekaa kaa tu kama mbuzi.
Wanangu, kama hatujapata maradhi kwenye utoto wetu, sioni haja ya kujiangamiza ukubwani..
Kuna mstari mwembamba kati ya urijali na kupoteza dira..
We ukiwapendea sura, Mungu atakukumbusha kuwa hajamaliza kuwaumba.
Shule nzuri ni ile tunayojipa wenyewe wanangu.
Mama Anna Makinda Spika Mstaafu wa awamu zilizopita amenukuliwa akisema
Katika Bunge aliloongoza alipata kuwa na wabunge wenye akili kupita kiasi,
Akatolea Mfano wa baadhi ya Kanuni walizokuwa wanapitisha Lakin kuna Sehemu wanakwama, na waliowengi wa CCM walikuwa wanataka zipite Hivo Hivo Ila yeye akawa anasema tumsikilize @TunduALissu anasemaje, na alikuwa akitatua mkwamo Mara nyingi akasema “niliwaambia Hakikisha mnapomsikiliza lissu si kuhojiana na anachosema bali kubalianeni naye Kwakuwa kila mkitaka kumuhoji zaidi ndipo tunajichanganya”
Ameeleza na pia akisisitiza siasa si uadui
𝐁𝐚𝐛𝐚 𝐰𝐚 𝐌𝐛𝐢𝐧𝐠𝐮𝐧𝐢,
Asante kwa zawadi ya siku hii mpya ya 𝐉𝐮𝐦𝐚𝐧𝐧𝐞. Tunakuomba, ongoza hatua zetu, utupe hekima, linda familia zetu, ubariki kazi ya mikono yetu na 𝐮𝐣𝐚𝐳𝐞 𝐦𝐢𝐨𝐲𝐨 𝐲𝐞𝐭𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢, nguvu na tumaini.
𝐀𝐦𝐢𝐧𝐚.
Kam ukipata nafasi ya kutengeneza Mahusiano mazuri na Mungu hakikisha hakuna mtu wala kitu kitakachokufanya upoteze mahusiano hayo it is the Best Feeling on Earth❤️😍🙏
#GodMyFather
Baba wa Mbinguni,
Asante kwa kutuamsha asubuhi ya leo na kwa kutuleta mwezi mpya wa Mei. Naitangaza Isaya 43:19 juu ya maisha yetu, nikifanya vitu vyote kuwa vipya na kuleta fursa mpya. Bwana, ongoza hatua zetu kwa hekima yako na fungua milango ya fursa kwa jina la Yesu.
Amina.