Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini na Nazitumikia Nguvu Zake na Uweza Wake. Kikao Kingine Mtakachokaa na Kupanga Maumivu Na Mauti Juu Yangu , Baada ya Kikao Hicho Mtaanza Mazishi ya Ndugu na Jamaa Zenu. Narudia , Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini. Sitakufa, Nitaishi Niuone Wema Wake Ktk Maisha Yangu.
Kutoka 14:14
“BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.”
MAWAKILI WAKO KAZINI KWA HOJA HIZI-
1. Lissu kagoma kuhudhuria Mahakama kwa njia ya Matandao. Anataka aletwe Mahakamani kwa mujibu wa sheria.
2. MAWAKILI wametoa hoja nzito sana kwamba kwa kuwa shauri limepangwa kusikilizwa kwa awali [Preliminary Hearing] masharti ya kifungu cha 192 [1] cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Toleo No. 20 kama lilivyorekebishwa mwaka 2022 kinasema ni lazima mshtakiwa awepo Mahakamani na Mahakama hiyo ni ya wazi. Pia masharti ya kifungu cha 186 [1] kinasema Mahakama ni ya wazi na Umma utaruhusiwa. Tumesema ni KINYUME CHA SHERIA kwa Mahakama kuendeshwa kwa mtandao.
3.Mawakili wameomba Lissu apewe haki zake zote za kuonana na Mawakili wake pia Mawakili wameomba Mkuu wa Gereza la Ukonga aitwe na kutoa maelezo kwa nini Mawakili na Ndugu hawaruhusiwi kumuona Lissu freely.
4. Mawakili wamehoji Mahakama ni lini na kwa namna gani Mahakama iliamua yenyewe kwamba case iendeshwe kwa mtandao;ilimshirikisha nani na ilikaa na nani?
5. Mawakili wamehoji kwa nini Ndugu, jamaa na Marafiki wa Lissu wamepigwa, kukamatwa na kuwa harrased na Mapolisi; je,Mahakama imeshiriki kuzuia watu kinyume na sheria, au ni yenyewe imeomba msaada kwa Polisi?
@godbless_lema Godii tayari ulishachaguliwa kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama,kwahiyo kama hilo swala la farewell kwa @freemanmbowetz wala haikuwa na haja kuja kuandika tena huku kwamba unaishauri kamati kuu!!!Huku tupo akina sisi ambao hatuna mahamuzi yoyote..!!!Tumia ubongo wako kidpgo basi
@Boanerge_@Dominicksalamb1 Elimu elimu elimu!!Mwendazake Edward Ngoyai Lowasa aliwapigania sana watu kama nyie ila ndo vile ndoto hazikutimia!Pesa unapewa kutokana na hatua unayoishia na wala hazijumlishwi we andazi.