@Antidote0789e@bwaya Kwa namna umedharau basi kwa settings za Tz unacholilia hakitakutosha. Ukiiona kwenye microscope tena electron microscope utaishia tu kusema ndo nini. Utamu wake ni mpaka advanced methods za kui-extract na ku-run PCR kitu ambacho ni wachache mno wanaofika level hizo.
@Antidote0789e@bwaya Elimu ya DNA na Darubini haviuhusiani. kwanza huwezi kuiona DNA kwa kutumia Darubini. Ndo haya yametoka kusemwa hapa, Umesoma ukakutana na DNA kwenye uliyosomeshwa, ukaijua japo kwa Uchache lakini sasaivi unadharau kuhusu Kusoma na kuitambua DNA japo kwa Uchache huohuo ๐๐