Dr Mwaka Mapenzi Yalimtesa.
Diamond Platnumz Alichitiwa.
Billgate Mwanamke Alimsumbua
Elon Musk Anakesi Za Wanawake.
Mimi Ni Nani💔😭🙏🏿
Ata Mama Acha Abaki Kuwa Mzazi Tu.
Ukimuweka Kwenye Kundi La Wanawake Unamkosea ( Wewe Ni Mama Kwa Baba Ako Ni Demu Tu).
Moyo Umechoka💔