WANASIMBA HICHI NDIO KIPINDI CHA KUSIMAMA NA MEENA ALLY
Kuna kipindi mchekeshaji Leonardo Aliikashifu klabu ya Simba kwenye tamasha lao wakaanzisha kampeni ya kumfollow na kumsapoti.
Ni muda wa KUSIMAMA pamoja na sisi na huyu mmoja aliekaa upande wetu๐
@Marley_tokyo@MichaelMwebe Mmiliki wa klabu anaweza kua na hela nyingi lakini akawa hayuko tayari kuwekeza hizo hela nyingi kwenye kununua wachezaji ghali
โฐ 70โ | Mashujaa 0-2 Simba
Clatous Chama doubles the lead with his second of the match. โฝ๏ธโฝ๏ธ
Simba are now in full control. ๐ดโช๏ธ
#NguvuMoja#AfricanFootball