Ni siku nyingine tena mmepewa kila sababu ya kuwadharau, kuwapa maneno makali, kuwaambia ni wezi huduma ni bure, kuwapiga ngumi wakati mwingine wafanyakazi wa afya๐ค
Wagonjwa ni muda wenu huu mtu asijaribu kutuma hata picha ya XRAY, Tamisemi kazi mnayo๐
-HAMPENDI UKWELI NYIE
Ukiwa kwenye hospitali yenye madaktari wengi hapo ethically unashauriwa kumpeleka mgonjwa huyo akahudumiwe na daktari mwingine kuepusha โunintended consequenciesโ
Umenifokea, umenituhumu, umenidogosha then a minute later you expect ntakua poa tu nakupatia matibabu?
We are humans ndugu wananchi - we have feelings as you do - โyou better watch your mouthโ