@larbisarah247@godbless_lema Pwani ya wapi kwanza maana Zenjibar inaanzia Pretoria mpaka Djibouti ambalo pote ni Sakhel kwa mjibu wa historia hivyo unazungumzia pwani ipi ? Ya Tz,Kenya ama Zenjibar yote
@godbless_lema Soma vizuri habari makubaliano pamoja ni pamoja na kulipia hisa kwenye miundombinu ikiwa na maana kuwa Rwanda tayari ni mdau wa mradi huo wa Dangote
@joeselasini Mwaka 1992-1994 kabla ya mauaji ya kuhilikisha umma wa Watutsi Rwanda mambo kama ya uchawa na uandaaji wanamgambo wa kuua Watutsi na waliokuwa wakiunga mkono RPF na hivyo walivyopoteza dira na kuanguka kwa serikali ya wauaji walihukumiwa zaidi ya milioni 2. Tujiepushe mapema
Kufuatia tukio lilosamba mitandaoni zikionyesha vijana wakionekana kwenye video wakiwa wanatembea katika maeneo ya Forodhani na kuelekea Mji Mkongwe Zanzibar video ambazo hazikufahamiki chanzo cha fujo hizo Ayo Tv imefika katika eneo hilo na kufahamu Kiini cha Fujo hizo
Wakizungumza na Ayo tv Baadhi ya wafanyabiashara wa Mji Mkongwe Zanzibar wameeleza kua kumekua na utumiaji wa Nguvu kupitiliza kwa askari wa Mji Mkongwe na chanzo cha fujo hizo kilianza kwa mama mmoja ambae ni mfanyabiashara kuchukuliwa vitu vyake kinguvu na kumwagwa chini ambapo watu wa eneo hilo hawakukubaki kitendo hicho
wamefafanua kua baada ya Jambo hilo vijana wenye hasira waliungana na bodaboda ambao vyombo vyao vimeshikiliwa na mamlaka hiyo na kwenda kuvunja kwa nguvu na kuchukua honda zao na Bajaji
Akifafanua kuhusu kadhia hiyo Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Mji Mkongwe Zanzibar Mohamed Zahran Mohammed amesema tukio hilo limetokea siku chache baada ya Mamlaka kufanya ukaguzi katika maeneo mbalimbali ya Mji Mkongwe na kutoa maelekezo ya kusitishwa kwa shughuli za biashara zinazofanyika katika maeneo yasiyo rasmi.
@Mamaurwagasabo1@RTDARwanda@CityofKigali@RwandaLocalGov Wagirango si mu Rwanda umuhanda wubatswe imyaka umunani ntidusinzira byaratuyobeye neza neza Kandi n' umuhanda w'amakamyo. Mu buzima nasanze twariyakiriye neza neza. Anyways nizereko bitazarenza December utararangira kuko it's too much pe.
@nathmunya Ubundi mu Rwanda Umubugu waganzaga kenshi yafatwaga nka PHD holder kuri ubu niho hapimirwaga Intore zo ku mikondo n'abatware bandi ku kijyanye na Emotional intelligence ariko hagapimirwa na Critical thinking aribyo Key factors muri PHD zubu naho High IQ yasabwaga abiru b'Abenge