@atienomyname Solution hapa ni wanawake wajitume kwelikweli hata siku wanaolewa wanaingia na mali zao..Ukiwa na chako wala hutakodolea cha mwanaume na heshima inakuwepo.
@Jambotv_ Ule unyama waliofanya na wanaendelea kunyanyasa wananchi wakae kwa kutulia..Majanga nanlaana zitawaandama sanaโฆOct 29 ilikiwa sisi sasa Mungu ameanzankazi na wao na mabwana zao.
Our beloved Mwalimu Julius Kambarage Nyerere is turning in his grave at how low and despicable the leadership of the once indomitable Tanzania has fallen. #RestInPowerMwalimuNyerere
Masimulizi ya biblia yanatuambia baada ya Mfalme Ahab na Malkia wake Jezebeli kumuua Naboth na kukwapua shamba lake, Mungu akamwambia mfalme:
Hakika damu yako italambwa na mbwa.
Fasta mfalme akaingiwa na hofu na kujutia makosa huku Malkia akijawa na kiburi cha madaraka.
Haikupita muda mrefu, walewale watumishi wa Jezebeli waliokuwa wanatekeleza maagizo wakamkamata na kumtupa nje kwa amri ya Jehu.
Ndani ya muda mfupi mbwa wakatafuna mzoga wa Malkia Jezebeli likabaki fuvu tu.
Oooohhhhh Lord, may we live to see that day.๐
Dunia tunaputaaa
Bwana Mungu akauliza je!! Ukitenda mema hutapata kibali?
Sikia ewe muuwaji wa watanganyika mtoa roho za watu ewe @SuluhuSamia na @tanpol ewe @jmkikwete NAWAKUMBUSHA SIKU ZILIZO MBAYA ZINAKUJA ASEMA BWANA WA MAJESHI
Ukitenda mema hutapata kibali?
@SuluhuSamia Samia damu..umesikia best yako ameanguka na helicopter hukoโฆ๐๐๐พ๐๐พMungu wetu anajibu kwa moto..wewe ukitoboa 2026 basi mapema 2027 tunabadili makapeti ya Ikulu..