@ErickKamihanda wao wanaeleza mambo yaliyotokea, waliyoona/kusikia/ kufanya baada ya kuona/kusikia(kuhamasika) then mahakama ndo inayapima hayo maelezo kwa ujumla kama ni uhaini au la. NB, sijasoma sheria
@KatibaMpyaTz_@HildaNewton21 kuonesha kwamba ni kitu rahisi sana kumpata mtu anayeshea icha/video zenye real background, hakuhitaji nguvu/skills/programs kubwa. Natumai watu walioko kwenye rada wataongeza umakini.
@HildaNewton21 Kama umeamua kusafiri toka Mwanza kwenda Mtwara kuwapoteza maboya hapo sawa, ila kama ni kweli uko around hapo ni tatizo. Never share real time photos/videos, yan kama mchezo ni kupoteza maboya unapost ukishahama location, ingawa bado kuna namna itawasaidia. Natumai hutaniblock.