๐จ๐น๐ฟ ๐๐๐๐๐๐๐๐:
Simba SC has decided to file complaints at CAF against Al Ahli Tripoli, confirmed.
Water bottles, plastic objects, bad language (rac!st chants) & physical attacks were all directed to the Tanzanian giants before & after their goalless draw game last night.
Simba leaders have gathered all evidences available and decided to go to CAF for justice and sanctions on the Libyan side.
#NguvuMoja ๐ฆ
#CAFCCwithMicky
Haya @ChademaTz nimewasogezea hii taarifa ๐๐พ
@tanpol na kikosi kile cha utekaji wamepewa maelekezo kukamata viongozi wote wa mkoa na kanda
Wanaogopa maandamano
Sasa mnafiki @nchimbie asiwatoe focus
Muwe makini utekaji wa Khamis Omary ni sehemu ya operesheni hii
@PatricOleSosopi usione ishu imeisha ndo kwanza wameanza
More to follow
Haya #TutaelewanaTu
Ndoto yangu ni kuona hii barabara ya Ali Hassan, kuanzia Mwenge hadi Posta imezungukwa na majengo marefu yenye ofisi zinazomilikiwa na vijana Watanzania. Humo ndani wawe vijana mwenye kampuni za Teknolojia, Afya, Masuala ya fedha, Uhandisi, Utalii, Uchumi, Benki nk
Jana tarehe 15.9.2024 nilikua sehemu ya Ujumbe wa Makamu Mwenyekiti wa Kanda ya NYASA Mh.Frank Mwakajoka kwenye Kongamano la Bawacha Mkoa wa Rukwa.
Ukubwa wa kongamano la jana ni ishara ya Ukubwa na uimara wa chama chetu kwote Nchini.