Ukiwa mtumishi wa afya mkoani ukaugua ukaenda hospitali ya kanda au ya taifa, hakuna hata special treatment unapata. Bima yako ni ya kawaida na utakaa kwenye foleni kama watu wengine tu. Ukizidiwa utalazwa general ward.
Ukifa ndio mkurugenzi wako anaweza kutoa ambulance ije ikufuate. Chama wafanyakazi (TUGHE AU TALGWU) kitachangia 100k kwa familia baada ya kukata mamilioni for years.๐
Nenda taasisi zingine za serikali. Bima za kishua. Wake zao wanaenda kujifungua Aghakhan.๐
๐จ๐ง๐ท Matheus Cunha to Manchester United, here we go! Verbal agreement in place between all parties involved.
Cunha will sign deal until June 2030 with option until 2031. Wolves to receive ยฃ62.5m clause value in installments.
Formal steps/contracts to be checked next week.
Man Utd - 5th
Chelsea - 6th
Man Utd - Draw a game
Chelsea - Draw a game
Chelsea - Sack their coach
Man Utd - Sack their coach.
Chelsea's new Coach wins first match
Man Utd's new coach wins first match
Man Utd wins 2-0
Chelsea wins 2-0
Evil twins ๐๐๐
Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
โVIJANA watarejesha heshima ya nchi yetu, watajenga UPYA nchi yetu tuwasikilize, twende nao na VIJANA WASIKATE TAMAAโ FATHER KITIMA.
Hii inayoongea ni PhD Ndugu zangu sio Elimu mbali mbali.
REPOST 200
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐