@iamcleopatricia Harufu mbaya kinywani vyanzo vyake ni vingi au sababu zake ambazo ni,1. Kutopiga mswaki vizuri,2.changamoto kwenye mfumo wa mmeng'enywa wa chakula ,3Magonjwa ya fizi ,4Kutumia mswaki muda mrefu Hivyo fika kliniki ya kinywa na meno kwa msaada