@Buu216@diamondplatnumz Sometimes you just need to fool the fools, as if you know nothing while you know that ur just enjoying them... and being happy seeing them panicking for no good reasons... Dont hate the player hate the game...
@Buu216@diamondplatnumz Hii yako inaongeza nini ikiwa category ya mond hata wewe hautapiga kura inapigiwa na watu 500 maalum je wewe utakuwa kati ya hao??
@julius_jaji Yes sababu walihamasisha watu wawe upande huo... ila pia nikuelimishe kidogo.. category ya mond haipigiwi kura kama kwa njia ya mtandao kama tunavyobishana hapa ila tunakerana tu kama watani wa jadi ile kategory inapigiwa kura na watu 5000 maalum japo kuna vigezo vingine.
@Divathebawse @Benson67987802 Sasa kama kapambana kivyake si ajipigie kura kivyake why anaomba kura??? Maisha ni kutegemeana hamna anaefika sehemu kivyake... lazima kuna sehemu watu wakushisupport ndio uende.
@Benson67987802 @kigogo2014 Wewe unajuaje kama east africa burnaboy hana mashabiki?? Na unakuaje kama wote Tz watampigia sadala??? Ivi kweli tukitoa ushabiki maandazi sadala anawafikia wale kwa kazi nzuri??