Mimi na Familia yangu,tumepokea salamu nyingi kutoka kwenu ndugu marafiki na jamaa.Tumefurahi sana. Hakuna mabadiliko yatakayoletwa na mabadiliko ya kalenda.Maturity ktk maisha ni kujua kuwa hakuna hali itakayo badilika kwa sababu ni Mwaka Mpya,kama hatuna imani ya matendo ktk ndoto zetu, ujasiri, nidhamu na uadilifu
Tumeingia mwaka mwingine.Ikiwa tutajali kufikiri kwa kina bila shaka furaha yetu ktk mwaka huu itakuwa mabadiliko ya mienendo na tabia zetu.Sisi sio hali ya hewa kwamba tunabadilika kwa hatua za kalenda, wewe ndiye unayepanga safari yako ya maisha.Jitazame, jichunguze na fanya maamuzi juu hata ya marafiki walio kuzunguka. Marafiki zetu wanaamua maisha yetu kwa asilimia kubwa. TAFAKARI.
Tunawatakieni heri ya mwaka wenye utambuzi na maamuzi.
@HKigwangalla Ndio maana ya kila afisa mstahili kununua lake kwa mkopo. Yatapungua. Petrol/diesel guzzlers boss. Kiwango cha matumizi ya mafuta kitaamua.