JK ni mzima wa afya, nimedhibitisha by 100%. Haumwi wala hajalazwa.
Yuko busy na kazi yake kuendelea kuleta machafuko Tanzania.
Ndugu zangu, wazee mashetani kama kina JK na Wasira hawafagi kirahisi hivyo. Evil people wanakufaga last, hata kwenye movie.
Na ukweli ni kwamba Tanzania haitokaaa ipate amani wala utulivu mpaka siku Mungu atakapo mchukua JK. Huyu ndio catalyst wa machafuko yanayokuja Tanzania na pia ndio mastermind wa mauaji ya October 29.
Subirini ataibuka hivi karibuni kuja kuongea shit kwa niaba ya kimamaโฆโฆ
Huyu Mzee yuko tayari kuimaliza Tanganyika ili familia yake iendelee kunyonya nchi. Hawatosheki.