Hauna mishe lakini una WiFi?
Usikate tamaa—hizi ni websites 5 bora zitakazolipa kwa kazi rahisi mtandaoni.
Unaweza kuanza leo, bila uzoefu, ukiwa na simu au laptop tu.
Let’s go! (Thread):👇
Tarehe 7/2/2025 Big Wig Mmoja hapa X Alipost Hii gari Toyota 86..
.
Nikaona wapiga kura wengi wameitolea macho 👀mixer tagging za hapa na pale..
.
Wakitaka kupata undani wa chuma ili wapate kuijua so ikatubidi tuingie mzigoni..
.
Sasa kaa vizuri funga mkanda tuanze safari 👇
Jamaa ameuliza swali la msingi "Biashara gani unaweza anzisha Dar kwa mtaji wa 6M na ikakupa profits ya 400K kwa mwezi?" na haya ndio majibu ya watu, jifunze 🤔
Check the thread 👇🏾🔥
@Salym Jibu zuri ni "Nashukuru" maana mtu kashindwa kukuamkia maybe sababu hamjapishana sana kiumli ila kutokana na michakato na mazingira sometimes mtu unampa heshima kama hivyo...by the way "SHKAMOO" haina maana yoyote na imekaa kitumwa zaidi