Tembea kifua mbele kama mshindi.
Jiamini kama mtu mwenye mtaji wa kutosha.
I-amini biashara yako hata katika uchanga wake.
Weka sawa mazingira ya biashara yako katika level unayoitaka.
Kamwe usidharau mwanzo mdogo.
Kama Una pesa isiyo ya mawazo;
1. Fungua shule
2. Uza internet
3. Logistics
Kama Una pesa ya mawazo;
1. Fungua Kampuni ya kuuza maji
2. Uza chakula
3. Uza mazao kwa serikali
Mtaalamu, nipe mawazo 3 ya nguvu tunayoweza fanyia kazi hapa Bongo tukatoboa
Kuna kitu kinaitwa Spiritual Maturity.
Ni pale unaacha kumuabudu Mungu kwa sababu ya miujiza.
Unaanza kumuabudu kwa sababu ni Mungu.
Hata maombi yakichelewa.
Hata milango ikifungwa.
Bado unasema,
“Mapenzi yako yatimizwe.”
Mama kanipigia simu jana na kunisisitiza kwa hofu kubwa kuwa nirudi Kibaigwa niache kwanza 7/7 ipite maana hapendi kabisa kuona ananipoteza
Nilitamani sana kumwambia kuwa maandamano ya amani wala sio vita tena ni jambo la kikatiba lakini nikahisi ataniona mbishi mbele zake 🙏🏽
Sometimes as Man unakaa mahali Tulivu unafikiriaa
Unajipiga self assessment una compare you life currently na mahali ulipokuwa 1/2yrs ago
Unakuta kuna barriers kibao ume push or umeondoa unajipigia makofi
Motivation ya kuendelea kupambana na life
Lets keep on Fighting Bros.🫡
Ongea Na Mwenyezi MUNGU Mwambie Kila Kitu Kilicho Kwenye Akili Yako Na Kukusumbua Na Uombe Mwongozo Na Msaada Kwa Kufanya Ibada 🙏🏼
Good morning ladies and gentlemen