Wewe ukiona Tangazo la mtu la biashara kama hili iwe una hitaji au hauhitaji bidhaa twanga REPOST tu.
Huwezi jua lolote linaweza kutokea hapo.
Call/Whatsapp 0716006808
TV zipo kuanzia 19" mpaka 100"
Tupo Dar na mikoani tunafanya delivery.
LEO NINA USHAURI TU.
Kwa wale wanaopiga picha za wapendanao kwenye mazingira tata halafu baadae wakitofautiana wanaanza kuzitumia kudhalilishana.
Ushauri wangu: muache hiyo tabia ya kupiga picha hizo maana kimsingi na kwa maoni yangu na kimaadili kwa ujumla wake, nadhani hazina tija yoyote, sijui nyie kama mnaona zina tija, kazi kwenu. Vinginevyo, kama hamtaacha kupiga picha hizo, basi mkitofautiana na kuanza kutishiana kudhalilishana, msiniombe ushauri muende moja kwa moja kwenye vyombo vya haki.
Okay? Sema okay kama una kubaliana na ushauri huu au sema No... kama hukubaliani.
NYONGEZA:
Na nyie ambao mnapigwa kwa kuviziwa bila ridhaa zenu, mkashtaki, sheria ya mtandao (THE CYBERCRIMES ACT OF of 2015 kifungu cha 14 (ponography)
ipo kwa anayefanya hivyo na mojawapo ya hukumu ikithibitika kwenye 14(a) (ponography) ni faini isiyopungua milioni 20 au kifungo jela kisichopungua miaka 7 au vyote kwa pamoja.
Na kwenye 14(b) (ponography which is lascivious or obscene) hukumu ni faini isiyopungua Tsh. milioni 30 au kifungo jela kisichopungua miaka 10 au vyote kwa pamoja.
Ni hayo tu, seva yangu imejaa sms sasa mnipumzishe na sms za aina hii tafadhali.
Usiku mwema.
Miundombinu yetu,
Treni yetu,
Fahari yetu.
Leo nimesafiri kwa treni ya SGR toka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Hakika Watanzania tunayo kila sababu ya kujivunia hatua kubwa tunazoendelea kupiga kama Taifa.
Nikiwa Dodoma pamoja na kazi nyingine, nitaboresha taarifa zangu katika Daftari la Kudumu la Mpigakura katika Ofisi ya Kijiji, Chamwino. Ninawasihi wananchi wenzangu tuendelee kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu, ili tutumie haki yetu ya kikatiba ya kushiriki Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu.
Kile AMBACHO akili yako IMEFIKIA UKOMO kukifanya...
...Ukimtumaini MUNGU atakushangaza kwa KUKUFANYIA NJIA kwa namna ya AJABU.
Wanadamu wanaweza kukuangusha.
Ila MUNGU husimama katika Uaminifu wake.
Hakuna Lisilowezekana Kwake.
Hata lile ambalo linalukosesha Usingizi, ambalo watu wamesema haliwezekani...
...ama ambalo linakufanya usione thamani ya maisha tena.
Kesho yako Itakuwa Njema.
Endelea kutumaini kwa siku moja zaidi.
Mambo yatabadilika na wewe utashangaa!!!
Kama umeipenda makala hii...
1. NIANDIKIE ulichojifunza kwenye comments kwa ufupi...
2. SHARE makala hii na mtu mmoja unayemjali...
Muda wowote ukiwa tayari nikusaidie kutimiza malengo yako hizi ndio namna 4 ninazoweza kukusaidia.
1. Kupitia Vitabu Vyangu Vya Kidigitali (SOFTCOPY/EBOOKS) tuma neno eBook kwenda WhatsApp +255 762 312 117
2. Vitabu Vyangu HALISI Vya Karatasi (HARDCOPY)
Piga +255 762 312 171 / +255 745 252 670
3. Mafunzo Kwa Njia Ya Video, KOZI.
Piga +255 762 312 117
4. Kupitia Exclusive MENTORSHIP
Piga +255 758 498 373
See You At The Top
Joel Arthur Nanauka
#TimizaMalengoYako #SeeYouAtTheTop #JoelNanauka
If you desire to be great, do not be surprised when things get hard. Be less surprised when they get even harder. Life doesn't test you to hold you back, life tests you to give you the opportunity to grow.
Embrace it.
Wasaalam. Jamani baba huyu Yuko wapi hivi sasa, nani anajua? Ustawi wa Jamii tunahitaji kuonana naye. Mwenye namba yake anipe DM au anitumie kwenye 0765345777.
Mitihani ya mapenzi inasumbua kote kote. Wanawake na Wanaume wote wahanga na mbaya zaidi, watoto. Tuendelee kushirikiana kusaidiana kukabiliana na hizi Hali.
@maendeleoyajami tufuatilie kupitia timu zetu za ustawi wa jamii kote nchini. Wanaume nao ni wanufaika wa huduma za Dawati la Jinsia. โ๐ป
Mtalii wa Ndani @mkandamizaji amefika Mkoa wa raha na mahaba, Tanga hoyeeeeeee!!!!
Ametangulia kusafisha njia wakati Wananchi wa Tanga wanamsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anayeanza ziara ya Mkoa wa Tanga keshokutwa tarehe 23 Februari, 2025.
TANGA MPO TAYARI??????