Msauzi anakuja kisauzi kuliko aliesuka chuma hanaga kazi mbovu kwenye kuremba vyuma tela Bora na Graphics za mbele sana hata Logo tu.!!!! Msauzi ana chata zake nazielewa kama Bitwell Transport,African Cargo management,Greendoor Cargo 2 Congo,Tacline,Timelink ......
@SamataJr_12 Dah Kweli Game imekamiwa ๐๐๐ yaani wakati wengine wanatoka Rujewa/Ubaruku kufuata Mpunga Madibira yeye anaufuata Huko wanakotoka.
@PolycarpMDM@Ludan180 Jirani yeye kwake anajenga viwanda vya kimkakati kwa kutegemea Malighafi toka kwetu
Viwanda vingi vya Tanzania vina Export kwenda kenya
Viwanda vya Chai
Parachichi
Karatasi
Tanganyika Wattle Ltd (TANWAT)
@PolycarpMDM@Ludan180 Hiyo Case ni kama Avo ๐ฅ ilivyo japo saizi kuna kiwanda Makambako Ila hakitoshi angalau kwa mikoa Iringa Njombe Mbeya kungekua na Viwanda vya packaging ya ๐ฅ 6-8 hii ingefanya Demand kuwa kubwa sasa zao linawanufaisha kenya na South Africa wanapeleka kwao ku Pack na Export.