Lionel Messi ameandika historia nyingine kwenye Kombe la Dunia la FIFA kwa kuwa mchezaji aliyepiga mikwaju mingi zaidi ya penalti katika historia ya mashindano hayo, akifikisha jumla ya penalti 7.
Hata hivyo, rekodi hiyo inaambatana na nyingine isiyotamanika, kwani Messi pia ndiye mchezaji aliyekosa penalti nyingi zaidi katika historia ya Kombe la Dunia, baada ya kushindwa kufunga penalti 3 kati ya hizo saba.
Takwimu hizi zinaonyesha kwamba licha ya kuwa mmoja wa wachezaji bora kuwahi kutokea duniani, hata mastaa wakubwa hukumbana na changamoto na kushindwa katika nyakati muhimu. Messi bado ameendelea kuweka alama kubwa katika historia ya soka kupitia mafanikio yake mengi, huku rekodi hizi zikionyesha upande mwingine wa mchezo unaothibitisha kuwa hakuna mchezaji mkamilifu.
🚨 𝗗𝗜𝗗 𝗬𝗢𝗨 𝗞𝗡𝗢𝗪: Lionel Messi went GOAL-LESS throughout the entire 2014 FIFA World Cup knockout stages despite playing every minute until the Final.
He was still awarded the Golden Ball. 💰🤑
@EliabuDanford When you do it, you will make headlines. And that will be the only way for me not judge your shenanigans, unless otherwise you just a scammer selling hope.
Kwa hiyo tumekubaliana Mungu hawezi kuponya UKIMWI ila mnaamini Mungu anaweza kila kitu. Aliumba kila kitu. Kwa wale msioamini katika Mungu haina shida ila na wakristo wamechangia kukubaliana na hoja. Yaani Mungu hawezi kuondoa Virus 😅
@EliabuDanford Hapo sawa, na ukawe front I looking forward to see you on BBC coz najua utamake headline kama mtu pekee usie tumia PPE kuwa saidia only "IMANI"