@Sativa255 kama ambavyo ilikuwa kipindi cha October 29 tulikuwa tunategemea kupata taarifa za kweli kutoka international Media na ndivyo Hadi kipindi hiki tutaendelea kuwaamini wao tu na sio #CCM media
@Sativa255 tuendelee hivi hivi mpaka #kieleweke tunahitaji katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, na viongozi watakao simama kwa ajili ya ustawi wa wananchi โ๐ผ