RUSHWA NI ADUI WA MAENDELEO HIVO BASII KUWA MZALENDO KWANZA NCHI YETU ITAPONA KINYUME NA HAPO TUTEGEMEE SIFURIIII VIONGOZI TUJALI NCHI YETU TUWE UPENDO,AMANI.
@_zolendronic Mkifika mjini “mama, mama, mama” nyingi. Siyo mama yenu. Ni ukweli kwamba mama zenu vijijini hawana maji, hawana umeme, hawana sukari. Wanalala gizani kama mende, wanakunywa maji mara moja kwa wiki kama ngamia, wanakunywa uji hauna sukari, wanatumia picha ya asali kuvuta hisia.
@mkosa07@Wakazi@bongofive@Roma_Mkatoliki@samstejskal Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi pakuche. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiriamali, kilimo, midahalo. Hilo ni TAIFA lipo kaburini kitambo.
@chiefgodlove1 Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi pakuche. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiriamali, kilimo, midahalo. Hilo ni TAIFA lipo kaburini kitambo.