- Hard work
- Persistence
- Late nights
- Rejections
- Sacrifices
- Discipline
- Criticism
- Doubts
- Failures
- Risks
All the factors of success you donโt see. #a7
Nikiwa kama mchezaji wa mpira wa kikapu Tanzania naomba kukushirikisha katika charity ya vifaa vya mchezo huu wa basketball vinaweza kuwa vipya au ambavyo vimesha tumika na bado viko katika hali nzuri ya kutumiwa unaweza piga namba hii kwa maelezo zaidi 0749370000
@mkosa07@Wakazi@bongofive@Roma_Mkatoliki@samstejskal Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi pakuche. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiriamali, kilimo, midahalo. Hilo ni TAIFA lipo kaburini kitambo.
Tuko na win moja mkononi kesho tena inshaallah tupo national indoor stadium(Taifa) against Burundi pull up muda saa moja jioni karibu sana lets support Tanzanite @IamNchaKALIH @MwanaFA@Wakazi@thisisjo_@rollymsouth @Chiimpanzeee @Allan_Lucky@Nahreel