Nikiwa kama mchezaji wa mpira wa kikapu Tanzania naomba kukushirikisha katika charity ya vifaa vya mchezo huu wa basketball vinaweza kuwa vipya au ambavyo vimesha tumika na bado viko katika hali nzuri ya kutumiwa unaweza piga namba hii kwa maelezo zaidi 0749370000