π πππ πππππ πππππππ ππππ π
Saa 8:00 mchana historia mpya itaandikwa hapa. Angalia LIVE kupitia Azam TV, Simba App na YouTube - SimbaSCTanzania. #NguvuMoja
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba SC, Crescentius Magori, leo amezungumza na Waandishi wa Habari na kutoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu klabu hiyo, yakiwemo masuala ya kiutawala na mwelekeo wa timu kwa ujumla.
Akizungumzia sakata la Mchezaji wa Yanga, Mohamed Damaro, Magori ameeleza msimamo wa Simba SC kuhusu madai ya kuwepo kwa uraia pacha kwa Mchezaji huyo, ambapo amesisitiza kuwa klabu hiyo ina haki ya kuhoji na kufuatilia kwa karibu uhalali wa usajili wa Wachezaji ili kuhakikisha kanuni na taratibu za soka zinafuatwa ipasavyo Nchini.
Aidha, Magori amehoji kuwa iwapo ni kweli Mchezaji huyo amepewa uraia wa Tanzania, basi ni kwa nini hajapatiwa nafasi ya kuitumikia Tmu ya Taifa, na kudai kuwa suala hilo linahitaji ufafanuzi wa kina kutoka kwa mamlaka husika ili kuondoa sintofahamu iliyopo miongoni mwa Wadau wa soka Nchini.
#MillardAyoUPDATES
"Hili jambo sio fair sababu kuna timu moja ina wachezaji 13 kwa kutumia mlango wa nyuma. Na aliyedanganya mamlaka kwamba anapewa uraia ili acheze timu ya taifa basi alifanya udanganyifu mkubwa, unampa uraia wa nini tena mchezaji mwenyewe hana hata mwaka Tanzania. Ni jambo serious na sisi tupo nalo serious."
- Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori.
"Mwaka jana na sisi tuliandika barua ya kubadili uraia wa wachezaji wetu lakini haijajibiwa hadi leo. Ligi Kuu ya Tanzania ikiwa haipo kwenye mizania sawa sio japo sawa. Hili japo sio tu tunakwenda CAS lakini pia tunaiandikia FIFA. Kama mtu anapewa uraia ili tu achezee klabu pekee bila timu ya taifa ni jambo ambalo halikubaliki. Damaro hata ipite miaka 100 hawezi kucheza timu ya Taifa. Jambo lingine ambalo TFF walitakiwa walifanye, kama kanuni zetu halizungumzii hilo basi wangetumia kanuni za juu kufanya maamuzi."- Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori. #NguvuMoja
"Ilianzia tukapelekwa kuchezwa Zanzibar sababu ya mashindano ya Quran, huko nyuma mashindano yameshawahi kufanyika na baada ya mashindano mchezo ukachezwa. Tuliwauliza wasimamizi wa mashindano ya Quran wakasema wao wanamaliza mapema shughuli zingine zinaweza kuendelea lakini bado mchezo ukapelekwa Zanzibar."- Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori. #NguvuMoja
"Hili jambo sio fair sababu kuna timu moja ina wachezaji 13 kwa kutumia mlango wa nyuma. Na aliyedanganya mamlaka kwamba anapewa uraia ili acheze timu ya taifa basi alifanya udanganyifu mkubwa, unampa uraia wa nini tena mchezaji mwenyewe hana hata mwaka Tanzania. Ni jambo serious na sisi tupo nalo serious."- Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori. #NguvuMoja
Baada ya kuwasili Kigoma nikitokea Tabora, nimepata wasaa wa kufuatilia tamasha la Klabu ya Yanga la Siku ya Mwananchi 2025, hakika limefana sana. Ninawapongeza na kuwatakia kila la kheri katika msimu ujao kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa.