#Fahamu | Wakati binadamu huhitaji kula mara kwa mara ili mwili uendelee kufanya kazi vizuri, baadhi ya wanyama wamebarikiwa uwezo wa ajabu wa kustahimili njaa kwa muda mrefu. Hii hutokana na uwezo wao wa kupunguza matumizi ya nishati, kushusha kasi ya mmeng'enyo wa chakula (metabolism), na kutumia mafuta yaliyohifadhiwa mwilini.
- Binadamu – Hakuna idadi maalum ya siku inayotumika kwa kila mtu ila kwa kawaida, mtu anaweza kuishi siku 8 hadi 21 bila chakulaikiwa anapata maji ya kutosha. Bila maji, wengi huweza kuishi takribani siku 3 hadi 5 pekee.
- Mbwa – Anaweza kuishi kati ya wiki 1 hadi 3 (siku 7–21) bila kula, mradi apate maji ya kutosha.
- Paka – Anaweza kuishi wiki 1 hadi 2 (siku 7–14)bila kula, lakini lazima apate maji safi.
- Ngamia – Anaweza kuishi wiki 2 hadi 4 (siku 14–30)bila kula kutokana na akiba ya mafuta iliyopo kwenye nundu zake. Pia anaweza kukaa wiki 1 hadi 2 bila kunywa maji, hasa katika mazingira ya jangwani.
- Nyoka wakubwa (kama Chatu au Anaconda)– Baada ya kula mnyama mkubwa, wanaweza kuishi miezi 6 hadi mwaka mmoja, na wakati mwingine zaidi, bila kula tena.
- Mamba – Anaweza kuishi mwaka mmoja au zaidibila kula, Mamba mkubwa mwenye afya nzuri anaweza hata kufikisha miaka miwili bila ya kula, ili mradi tu apate maji.
Chanzo: Healthline, National Geographic, Smithsonian Magazine
#EastAfricaTv | #Fahamu | #HainaKuchoka
The Elegant Men's Shorts was made for man who wants to look good without thinking about it. From seaside escapes to rooftop dinners, the Riviera keeps up with your pace without slowing you down.
Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crowne.
Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m.
Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa gari!!!
Yaani gari Machuma yote, engineering iliyopo pale kwenye gari unanunua bei sawa na ushuru wa mtu ambae amekaa ofisini tu na anakuchaji hela yote hiyo!!!!
Wakati mwingine kodi zinakua bei juu kuliko manunuzi!!!!
Huyu kijana awe mkulima au mfanyakazi, anafanya kazi ngumu sana kupata hiyo fedha, then inachukuliwa hivi…
Alafu baada ya mda CAG anasoma ripoti kwamba uwanja ulitakiwa kujengwa kwa bilioni 187 baadae ukajengwa kwa bilioni 337..
Mara umekaa unaambiwa kuna eti Waziri anatumia gari binafsi ya bilioni 2, unajiuliza mtumishi wa umma ametoa wapi bilioni 2 kununua gari na mshahara wake unafahamika, au anamiliki nyumba tano za thamani ya bilioni tatu, nne au tano… aniliki mashamba ya mabilioni, amempa mama mkwe wake nyumba ya bilioni tano na gari la kutembelea la milioni 500.
Pesa zote hizi za mlipa kodi anaeumizwa kiasi hiki na mzigo wa kodi…
Hapa nimesema magari tu, Ukienda kwenye kila kitu kinachoingizwa na kutoka Nchini ni mzigo wa kodi na maumivu kwa Mwananchi..
Na mwisho wa siku badala hizi fedha zitumike kwaajili ya maendeleo yetu zinaishia kwenye mifuko ya vibaka.
Hakuna barabara, hakuna maji, hakuna umeme.. Maisha magumu , mishahara duni hasa kwa walimu na manesi.
Hatuwezi kukubali kuwa watumishi wa vibaka wanaopora mali za umma.
SIKIA MAMBO YASIWE MENGI
- Kama una mahusiano huyaeleweki
- Kama una madeni kila kona, kama unahisi kuna plan mbaya juu yako na unataka kuijua
CHEZA NA HIZI CODE HAPA.
🧵FUNGUA UZI MFUPI ⤵️
Tears, man.
Maria Guardiola knows what her father has been through over the past year or two. He's been through a lot, and she's never left his side. She's always been there. Always.
Love is everything when you have people who truly matter in your life. People love you when you win, they don't love you to win. Maria is the best example of the latter. ♥️
CHANZO CHA KUTENGANA KWA KOREA KUSINI 🇰🇷 NA KASKAZINI 🇰🇵
Ilianza hivi.
Korea ilikuwa nchi moja tangu karne ya 7 means tangu miaka ya 1700 mpaka 1945. Karne za kutosha wamekaa pamoja chini ya HIMAYA YA SILLA, WANAITA SILLA DYNASTY.