@rovicofficial__ Huu ni ubinafsi, Labda angekuwa anakunyima uhuru au anazingua kweli bajeti ya mtu mmoja huwa hata haiongezeki inakatwa kwenye Ile ile ya waliopo
Huyu ni Mama mkwe , Je watu baki utaweza kuwapa kitu ?
Tena chakula 🌚🤔
@LukonaJNR Wapo wengi wanafanya streaming na wanapata hela na hawatumii nguvu sana.
Na wanafanya kitu wanapenda
Ila kusema wanapoteza muda unazingua big time
Hujui wao wanataka kuarchieve nini
So if you are not entertained fuck it up
You were not the target audience or the objective
Twenty years ago we invaded Iraq. The war killed many innocent Iraqis and Americans. It destroyed the oldest Christian populations in the world. It cost over $1 trillion, and turned Iraq into a satellite of Iran. It was an unforced disaster, and I pray that we learn its lessons.
@BarakaMaviatu Ila hii hata wanaotaka kuwekeza hawapati ile support
Like serikali ndo inaona sehemu ya kupata pesa like kodi kubwa kwa tech companies /MNOs Mara tozo
Ila ilibidi iwe kwenye mfumo wa PPP like wanatoa huduma as serikali inafaidika zaidi kwenye cashless zaidi kuliko cash