@Scoorboy_Tz@SuluhuSamia Kwaiyo ajira ni uwalimu tuu bro weka vyeti pembeni njoo mtaani pesa hazipo huko unakowaza utamlaumu raisi bure we mwanaume pambana
Sio kila ambae haonyeshi vitu vyake basi Hana,wengine hatuna maisha ya maonyesho,ishi maisha yako ukiamini zamu yako ikifika Mungu atakupa atakuvusha hapo ulipo maana anatoa kwa zamu๐ซ