@kiharakimolo@TanzaniaLeaks Sovereign state gan mbele ya marekan,wale jamaa wakiamua lao hakuna wa kuwasumbua. Angalia Nigeria wamepewa tamko moja na US,angalia Venezuela. So usishangae wakafanya hivyo kwetu. Mungu tu aepushe mbali
@drpatkessyMD@MariaSTsehai @PolepoleHumph @TunduALissu Polepole kama unamfatilia,kuna siku aliomba msamaha kwa mambo yake kwa sababu alikiri kua alishiriki. Sasa anavyoongea haya ni kwamba alishaona makosa na hataki tena ya endelee.
Wewe kwa sasa ombea nchi yako tu kwa Mungu basi
@FreeData462@godbless_lema Fanya hivi,zaa mtoto,mlee mwenywe alafu muue ndo utajua ni mtoto wako au ni wa serikali.
Dunia inataka miti zaidi na zaidi,so acha iwe ngumu kukata miti. Mvua zinapungua kisa ukame,nchi haina miti