#PleaseRT; Michael Mwinuka ni kijana mwenye umri wa miaka 26 kwa sasa. Alipozaliwaa huko kwao Songea aligundulika kuwa na tundu kwenye moyo wake, kitaalamu huijulikana kama Ventficular Septal Defect (VSD) ambalo linasababisha damu safi (oxygenated blood) na chafu deoxygenated.